Friday 26th, April 2024
@Tukuyu mjini
Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe yafanya Warsha kubwa yenye mada za Uwekezaji,Utekelezaji wa Maboresho ya Mfuko wa Afya, Elimu ya Ardhi na mapambano dhidi ya UKIMWI.
Warsha hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Halamshauri tarehe 06/11/2018.
Warsha hiyo imehudhuriwa na Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe,Watendaji wa Kata11 za Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe,Wajumbe wa Kamati ya Kudhibiti na kupambana na Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na Wakuu wa Idara za Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe.
Picha zifuatazo ni baadhi ya washiriki wakiwa katika warsha hiyo katika Ukumbi wa Halmashauri(picha na Suzan Mhoja)
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa