• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Rungwe District Council
Rungwe District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa naSerikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, U mwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafishaji na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Tehama na Mahusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Utunzaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Uzalishaji wa Maziwa
    • Kiwanda Cha Matunda
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Ardhi na Maliasili
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
      • Mikutano ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Katiba Pendekezwa
    • Mihutasari
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Matukio
    • Habari
    • Makala

UMISSETA NGAZI YA HALMASHAURI WILAYA YA RUNGWE

Wednesday 17th, September 2025
@VIWANJA VYA MICHEZO CHUO CHA UALIMU TUKUYU (MSASANI)

Uundaji wa timu za michezo mbalimbali  kwa Halmashauri ya Rungwe  UMISSETA 2019, umefanyika tarehe 18/05/2019 katika viwanja vya michezo  chuo cha Ualimu Tukuyu (Msasani).

Mashindano hayo yamefanyika kwa ngazi za  kanda nne (4) ambazo ni Kipoke, Iponjola,Bujinga na Masukulu ikiwa kila kanda ikiwa na shule za sekondari takribani 10.

Baada ya kuunda timu ya Halmashauri, maandalizi ya kwenda kwa  ngazi ya Mkoa yataendelea katika kambi ya Shule ya Sekondari Isongole. katika kambi hiyo itakuwa na wanafunzi 120 wa michezo mbalimbali.Mashindano hayo yalizinduliwa na Afisa Elimu sekondari Mwl Abel Ntupwa ambaye alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi huo.

Aidha wakati akifungua mashindano hayo  Afisa Elimu sekondari (W) Mwl.Abel Ntupwa aliwashukuru walimu wote hususani walimu wa michezo  katika shule za sekondari waliofanya maandalizi ya mashindano kuanzia ngazi za shule mpaka kufika  ngazi ya kanda, pia alishukuru zaidi uongozi wa TAHOSSA  Halmashauri ya  Wilaya ya Rungwe  kwa maandalizi mazuri ya mashindano hayo ya michezo.

Pamoja na shukrani nyingi alizotoa pia aliwapongeza wanafunzi wote waliofika katika ngazi ya kanda,pia aliwasihi sana wawe wanafunzi wenye nidhamu katika michezo kwa kuzingatia kauli mbiu ya UMISSETA 2019 isemayo "Michezo kwa Elimu Bora na Ajira"

Aidha aliwataka wanafunzi wote na walimu wa michezo kuendelea kujiandaa vizuri zaidi ili  kupata ushindi katika michezo yote kwa ngazi mkoa na wachezaji bora ngazi ya Taifa.

Matangazo

  • MAPOKEZI YA FEDHA KWA AJILI YA UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO September 14, 2025
  • TANGAZO BARAZA LA MADIWANI April 27, 2021
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MKATABA June 10, 2021
  • TAARIFA KWA UMMA October 27, 2021
  • Onesha Vyote

Habari Mpya

  • WIKI YA ELIMU YA WATU WAZIMA

    September 03, 2025
  • WIKI YA ELIMU WILAYANI RUNGWE

    September 02, 2025
  • WATUMISHI KITUO CHA AFYA KYIMO WAPONGEZWA

    August 29, 2025
  • HOTUBA YA RAIS DIRA YA TAIFA 2025/50

    July 17, 2025
  • Onesha Vyote

Video

Vivutio vya Utalii
Picha Mjongeo Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
  • TAMISEMI

Vinganishi Linganifu

  • OR TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Ufundi
  • Sekretarieti ya Ajira Utumishi wa Umma

Kipimo cha Wateja Duniani

world map hits counter

Wateja Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB

    Sanduku la Posta: Box 148

    Simu: 025 255 2586

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Huruhusiwi
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa