Friday 29th, March 2024
@NDANTO
Ujenzi wa shule ya sekondari Ndanto ulianza rasmi tarehe 18.08.2017,ujenzi huo ni wa vyumba vya madarasa na vyumba vya maabara. Wananchi wa kata hiyo ya Ndanto walikubaliana kujenga shule hiyo ya sekondari ya kata kwa gharama zao. Hivyo kila kijiji kitajenga vyumba vitatu vya madarasa na kijiji kimoja kitajenga vyumba viwili vya maabara, vijiji hivyo ni Ntokela,Ndanto, Goye na Nzunda. Jiwe la msingi wa ujenzi huo limewekwa tarehe 29.11.2017 na mkuuu wa Wilaya ya Rungwe Ndugu. Jullius Nyangidu Challya.
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa