Saturday 20th, April 2024
@Ukumbi wa Halmashauri
Baraza la Wafanyakazi katika halmashauri ya Wilaya ya Rungwe limefanya kikao chake tarehe 10/12/2018, katika Ukumbi wa Halmashauri na kuhudhuriwa na wakuu was idara za halamshauri, wawakilishi wa wafanyakazi katika halmashauri ya Wilaya ya Rungwe,Viongozi wa vyama vya wafanyakazi na wawwkilishi wa wafanyakazi wenye mahitaji maalumu.
Aidha katika kikao hicho cha Baraza ulifanyika uchaguzi wa nafasi zilizo wazi za viongozi ambao wamehama katika halmashauri yaWilaya ya Rungwe na kuhamia Halmashauri nyingine.Nafasi zipizokuwa wazi no Katibu na katibu msaidizi. Katika kikao hicho Bwana. Leonard Lwesya amechaguliwa kuwa Katibu wa Baraza la Wafanyakazi Halamshauri ya Wilaya Rungwe na Katibu Msaidizi ni Bibi. Kiswigo Mwandemele.
Picha tofauti taofauti za Wajumbe wa Baraza la wafanyakazi Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe wakiwa katika kikao cha kawaida kilicho fanyika katika Ukimbi wa Halmashauri ya Wilaya Rungwe.(Picha na Susan Mhoja)
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa