Friday 19th, April 2024
@TUKUYU
Tamasha la Ngoma za asili limeandaliwa na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania ,Mheshimiwa Dk. Tulia Ackson Mwansasu kupitia Taasisi ya TULIA TRUST, Tamasha hilo litafanyika katika uwanja wa mpiraTandale uliopo Tukuyu mjini . Vikundi mbalimbali vya ngoma toka ndani na nje ya Wilaya vitashiriki katika Tamasha hilo. Katika Tamasha hilo kutakua na mashindano yatakayohusisha vikundi vya ngoma toka Halmashauri ya Busokelo, Kyela na Rungwe.
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa