Thursday 28th, March 2024
@Tukuyu
Kamati ya Lishe ya Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe imefanya kikao chake tatu kwa mwqkanwanfedha 2018/2019 tarehe 22/02/2019 katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe.
Aidha katika kiakao hicho ilijadiliwa Taarifa za utekelezaji kwa kipindi cha robo ya pili kutoka kwenye Idara zinazounda Kamati ya Lishe Wilaya ambazo ni Idara ya Kilimo, Idara ya Mifugo, Idara ya Elimu msingi, Idara ya Elimu Sekondari, Idara ya Maendeleo ya Jamii, Idara ya Afya, Idara ya Mipango na Ufuatiliaji, idara ya Maji na taasisi za dini na asasi mbalimbali zinazo fanya kazi za ustawi wa jamii katika Halmashauri.
(Pichani ni baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Lishe wakiwa katika kikao.)
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa